Tag: habari za kimataifa
Tanzania na Qatar kushirikiana sekta ya afya
Ujumbe wa Tanzania uliopo ziarani nchini Qatar umekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Hamad Medical Corporation (HMC) Jijini Doha, Qatar ikiwa [...]
Magari haya yanatumia kiwango kidogo cha mafuta
Bei za mafuta zimeendelea kupaa katika soko la dunia na Tanzania, jambo lililosababisha gharama za maisha kuongezeka kwa kasi.
Hii imewafanya baadhi [...]
Nandy ajifungua mtoto wa kike
Msanii wa muziki wa bongo fleva, Nandy kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha kujifungua mtoto wa kike.
Vi [...]
TCRA yatoa onyo kwa vyombo vya utangazaji
Kamati ya maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa tahadhari kwa vyombo vya Utangazaji nchini kuzingatia urushaji wa maudhui yenye kuz [...]
P square jela maisha kwa kumbaka mtoto Coco Beach
Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu kama P square, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya ku [...]
Bashungwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Muheza
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa ameagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muh [...]
Rais Samia alipa makavu Jeshi la Polisi
Ni juzi tu tangu alipotoa maagizo ya kurekebisha utendaji wa Jeshi la Magereza nchini, Rais Samia Suluhu Hassan jana ameligeukia Jeshi la Polisi na [...]
Hii hairuhusiwi
Taarifa kwa Umma kutoka Wizara ya Maliasili
JAMBO HILI HALIRUHUSIWI NDANI YA HIFADHI ZETU!
Jambo hili tunaweza kulifurahia lakini ni hatari na H [...]
Mahakama yatupilia mbali ombi la Ruto
Mahakama ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali ombi la Rais Mteule William Ruto la kupinga matumizi ya hati ya kiapo iliyowasilishwa na John Githongo, [...]
TAHADHARI: Mlipuko wa Kipindupindu
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametahadharisha kuwapo mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika baadhi ya mikoa na kuwataka Watanzania kuzingatia usafi [...]