Tag: habari za kimataifa
Simba kumuaga Wawa
Klabu ya Simba imeamua kuacha na beki wake wa kati raia wa Ivory Coast Pascal Wawa baada ya mkataba wake kumalizika kwenye klabu hiyo yenye makazi yak [...]
Nabi amtamani Msuva
Simon Msuva yupo nchini tangu mwaka jana baada ya kuzinguana na timu yake ya Wydad Casablanca ya Morocco na kupelekana Fifa, ila juzi alifunga mabao m [...]
Ofisa Mtendaji, Mgambo wadaiwa kuua mwanafunzi kisa viatu
Ofisa Mtendaji katika kata moja wilayani Siha mkoani Kilimanjaro na mgambo, wanadaiwa kuwatembezea kipigo wanafunzi wanne na kusababisha kifo cha mmoj [...]
Magazeti ya leo Juni 21,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Juni 21,2022.
[...]
Mwanachuo anusurika kipigo akidaiwa kumtupa kichanga baada ya kujifungua
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (Saut) Mwanza aliyetambulika kwa jina moja la Judith amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi akidaiwa [...]
Oman kujenga Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro
Hatimaye ziara ya siku tatu nchini Oman iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan imeanza kuzaa matunda baada ya Viwanja vya ndege Muscat kutia saini ya [...]
Nyani waua mtoto mchanga
Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wak [...]
Sabaya kizimbani leo
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Jumatatu Juni 20, 2022 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusikiliza [...]
Tahadhari upepo mkali kwa siku tatu
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetahahdarisha umma kuwepo vipindi vya upepo mkali katika Bahari ya Hindi kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo. [...]
Umuhimu wa uwekaji mipaka Loliondo
Wataalamu wa wanyamapori katika Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Afrika (Mweka) wamepongeza uamuzi wa serikali kuweka mipaka ya eneo la Pori Tengefu [...]