Tag: juma jux
IGP Wambura afanya mabadiliko
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IJP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi ili kujaza nafasi zilizokuwa wazi. [...]
Rais Samia ataja vigezo vya kuteua viongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 1,2022 amewaapisha viongozi wateule Ikulu, Dar es Salaama na kutaja vigez [...]
DK. Kikwete achaguliwa kuongoza uchaguzi Kenya
Rais wa awamu ya nne wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ameteuliwa kuongoza ujumbe wa Wachunguzi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrik [...]
‘Girlfriends day’ ni kwa Marekani tu
Leo Agosti 1, ni siku ya marafiki wa kike ‘girlfriends day’ na tofauti na ilivyo kwa siku ya wapendanao, siku hii ni mahususi kwa wanawake kwa ajili y [...]
Bandari ya Dar inavyoimarisha soko la biashara
Ripoti mpya ya GBS Africa imeonyesha kwamba upanuzi mkubwa na uboreshaji wa ufanisi katika bandari kuu ya Tanzania ya Dar es Salaam umeiwezesha kutoa [...]
Kuna haja ya ujenzi wa barabara nane
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amesema sasa ni wakati mwafaka kwa serikali kujenga bara [...]
Tanzania kusambaza umeme Afrika
Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya kilovoti 400 kutoka Iringa, Tanzania hadi Zambia (TAZA) utaanza kutekelezwa Januari mwakani na utakami [...]
SUMA JKT waendelea na ujenzi wa nyumba 400 Msomera
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amekagua ujenzi wa nyumba mpya 400 katika kijiji cha Msomera Wilayani Handeni, Mkoani Tang [...]
Mkongo wapigwa marufuku
Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi kwa binadamu dawa aina ya Hensha maarufu Mkongo, inayomilikiwa na kituo cha [...]
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Caroline Kitana Chipeta kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague nchini [...]