Tag: juma jux
Amuua mkewe kisa elfu kumi
Jeshi la polisi mkoani Manyara linamshikilia Petro Basso (38) mkazi wa Gabadaw wilayani Babati mkoani Manyara kwa kosa la kumpiga mkewe Maria Sakware [...]
Magazeti ya leo Julai 26,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Julai 26,2022.
[...]
23.3% kufafanuliwa kesho
Serikali imesema Jumanne Julai 26, 2022 itakutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) ili kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi kuhus [...]
TICTS yatajwa kuwa chanzo cha matatizo kwa wafanyabiashara bandari ya Dar
Kushindwa kujiendesha kwa ufanisi kwa Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makasha (TICTS) kumesababisha msongamano wa makasha hayo bandari ya Dar es Sal [...]
IGP Wambura aanza kazi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camilus Wambura amewataka wananchi wa jiji la Arusha kuendelea kutunza amani iliyopo na kutokujiingiza kwenye viten [...]
Manara afungiwa miaka 2
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania leo Julai 21, 2022 imemfungia Msemaji wa Yanga Sc, Haji S. Manara kujihusisha na Soka ndani [...]
Mradi mkubwa wa maji kujengwa Mwanza
Huenda wakazi wanaoishi kusini mwa jiji la Mwanza wakaondokana na shida ya upatikanaji wa maji safi na salama baada ya Serikali kuweka mikakati ya kub [...]
Wasifu wa Kingai
Ramadhani Kingai ameteuliwa kuwa DCI na Rais Samia Suluhu Hassan, Jumanne usiku, Julai 19,2022 akichukua nafasi ya Camilius Wamabura ambaye ameteuliwa [...]
Kuandika wosia sio uchuro
Wizara ya Katiba na Sheria imeiagiza Wakala wa Usajili, Ufilisia na Udhamini (RITA) kukusanya maoni kwa wananchi ya nini kinachosababisha wananchi kuw [...]
Waziri Makamba aeleza sababu ya kugawa mitungi ya gesi
Waizri wa Nishati, January Makamba amesema wizara hiyo imegawa bure mitungi ya gesi kwa kaya masikini na mamalishe katika mikoa mbalimbali nchini, ili [...]