Tag: juma jux
Maboresha katika Bandari ya Tanga yaanza kuleta matunda
Bandari ya Tanga kwa mara ya kwanza imepokea meli ambayo imebeba mzigo wa magari pamoja na shehena nyingine za mizigo kutoka nchini China.
Meli hiy [...]
DC Iringa awataka kina mama kuachana na ‘vibenteni’
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Verronica Kessy amewaonya akina mama (wanawake watu wazima) wanaojihusisha kimapenzi na wavulana wadogo (vibenteni) akisema [...]
Fahamu nchi 10 za Afrika zenye madeni makubwa China
China ni kati ya mataifa makubwa duniani yanayokopesha nchi nyingi za Afrika kiwango kikubwa cha fedha zinazowasaidia kutekeleza miradi na pia kuendes [...]
CHADEMA kupokea milioni 102 ya ruzuku kwa mwezi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema chama hicho kimekubali kupokea ruzuku ya Sh. milioni 102 kwa mw [...]
Tanzania haidaiwi zaidi ya sh. trilioni 10 na EIB
Wizara ya Fedha na Mipango nchini Tanzania imewataka wananchi kupuuzia taarifa zinazoonekana kupitia mitandao ya kijamii kuwa Serikali inadaiwa Dola z [...]
Magazeti ya leo Machi 6,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Machi 6,2023.
[...]
Waandaaji wa Miss Tanzania wapinga wazo la Zuchu
Baada ya msaani Zuhuru 'Zuchu' kutumia Sash yenye jina la Miss Tanzania kwenye cover ya wimbo wake mpya wa NAPAMBANA. waandaaji wa mashindano ya Uremb [...]
Tinubu ashinda urais Nigeria
Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria (INEC) imemtangaza mgombea wa chama tawala APC, Bola Tinubu kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumamosi.
[...]
Kilwa kuwa bandari kubwa ya uvuvi Afrika Mashariki
Wilaya ya Kilwa iliyopo mkoani Lindi ni maarufu sana duniani kutokana na historia yake ya magofu ya kale na yenye vivutio vingi vya utalii.
Mji huo [...]