Tag: nafasi za kazi

1 9 10 11 12 13 80 110 / 800 POSTS
IMF yaipongeza Tanzania kwa utulivu wa kiuchumi

IMF yaipongeza Tanzania kwa utulivu wa kiuchumi

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Bo Li, ameipongeza Tanzania kuwa na utulivu wa kiuchumi wakati ambao kimataifa mazingira [...]
Onyo kwa wanasiasa wanaotumia matusi kwenye mikutano

Onyo kwa wanasiasa wanaotumia matusi kwenye mikutano

Viongozi wa vyama vya siasa nchini wamekemea tabia ya baadhi ya wanasiasa wenzao wanaotumia vibaya nafasi ya kufanya mikutano ya hadhara ya vyama vya [...]
Mradi wa Sh270 bilioni watua wanakijiji ndoo

Mradi wa Sh270 bilioni watua wanakijiji ndoo

Zaidi ya wakazi 10, 000 wa Kijiji cha Bugayambelele Kata ya Kizumbi Manispaa ya Shinyanga, wameondokana na adha ya kukosa huduma ya maji baada ya mrad [...]
Msisitizo wa Rais Samia kuhusu umoja na muungano wa taifa

Msisitizo wa Rais Samia kuhusu umoja na muungano wa taifa

Wadau wamebaini kuwa wito wa mara kwa mara wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kukuza umoja na kudumisha amani unakuja wakati muhimu ambapo Tanzania imeona [...]
Rais Samia awaeleza viongozi wa Afrika njia ya kuwasaidia vijana

Rais Samia awaeleza viongozi wa Afrika njia ya kuwasaidia vijana

Rais Samia Suluhu Hassan amesema njia pekee ya kuwa na vijana watakaosaidia kulijenga taifa lenye maendeleo kwa siku za mbeleni ni kuwekeza kwenye mta [...]
Mapendekezo matatu yakuboresha rasilimali watu Afrika

Mapendekezo matatu yakuboresha rasilimali watu Afrika

Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango ametoa mapendekezo matatu yatayosaidia kuimarisha uwezo wa rasilimali watu barani Afrika ikiwemo ta [...]
Rais Samia mgeni rasmi siku ya mashujaa

Rais Samia mgeni rasmi siku ya mashujaa

AMIRI Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa kitaifa Julai 25, mwaka huu. Shere [...]
Hakuna uhaba wa mafuta nchini

Hakuna uhaba wa mafuta nchini

WAKALA wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) umesema hakuna uhaba wa mafuta nchini. Kaimu Mtendaji Mkuu wa PBPA, Erasto Mulokozi amelieleza Habar [...]
Kenya: Shule za fungwa kupisha maandamano

Kenya: Shule za fungwa kupisha maandamano

Serikali nchini Kenya imetoa agizo la kufungwa kwa shule zote za msingi na sekondari za mchana jijini Nairobi na Mombasa kabla y [...]
Tanzania na Hungary kuangazia usawa wa kijinsia

Tanzania na Hungary kuangazia usawa wa kijinsia

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali yake inalitizama kwa jicho la tatu suala la usawa wa kijinsia na kuwainua wanawake katika jamii. Rais Sam [...]
1 9 10 11 12 13 80 110 / 800 POSTS
error: Content is protected !!