Tag: nafasi za kazi
Sh3 bilioni kutumika Samia Scholarship
Jumla ya Sh3 bilioni zimetengwa kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya sayansi katika mitihani yao ya kidato cha [...]
Trilioni 2.78 kutekeleza miradi ya elimu nchini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa amesema Serikali itatumia kiasi cha shilingi trioni 2. 78 kw [...]
Serikali kuajiri walimu 42,697 mwaka 2022-23
Huenda uhaba wa walimu wa masomo ya Sayansi na Hesabu ukapungua nchini Tanzania na kuongeza ufaulu wa wanafunzi katika masomo hayo mara baada ya Serik [...]
Rais Samia : Watanzania wekezeni Msumbiji
Rais Samia Suluhu amewataka Watanzania wanaoishi na kufanya biashara nchini Msumbiji kutumia fursa ya ushirikiano wa nchi hizo mbili kuwekeza kwa faid [...]
Tanzania kuchangia bilioni 2.3 Global Fund
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango a,etoa mwito kwa mataifa duniani kuungana katika kutoa mchango kwa Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na Ukimwi, Kifua K [...]
Wabunge wapya wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki
Hatimaye mara baada ya kusubiri kwa muda mrefu wabunge tisa watakaoiwakilisha Tanzania katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Eala) wamepatikan [...]
Ahadi ya Makamba yatimia Kigoma
Itakumbukwa wakati akiwasilisha Bungeni hotuba ya bajeti ya Wizara ya Nishati Juni 2,mwaka 2022, Waziri wa Nishati, January Makamba alikitaja kipaumbe [...]
Ashikiliwa kwa kumuua mkewe baada ya kumuota mchawi
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Inala, Ali Mkonongo kwa tuhuma za kumuua mke wake, Mariam Yusuph kwa kumpiga na kitu k [...]
Namba za simu za Wakuu wa Polisi Wilaya (OCDs)
Kama Mtanzania ni vyema ukawa na namba za simu hizi za wakuu wa polisi wilaya (OCDs) ili uweze kupata huduma sahihi kwa haraka.
OCD CHAMWINO
65988 [...]
Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumatatu19 Sept 2022
Bonyeza Links Zifuatazo:
11 Logistics Officers at MDH
HTS & HIV Prevention Servic [...]