Tag: nafasi za kazi

1 31 32 33 34 35 80 330 / 800 POSTS
Faida 3 za kutovaa nguo za ndani

Faida 3 za kutovaa nguo za ndani

Kama ulikua unajisikia vibaya pindi uvaapo chupi basi sasa unaweza kuwa na amani na kuacha kuzivaa kwani kuna faida endapo utaacha. Zifuatazo ni fa [...]
Ziara ya Rais Samia Marekani yajibu

Ziara ya Rais Samia Marekani yajibu

Ubalozi wa Marekani nchini umesema ujumbe wa kampuni 19 kubwa za uwekezaji nchini Marekani utafanya ziara Tanzania kuona fursa za biashara na uwekezaj [...]
Mikoa 18 kukosa umeme leo Septemba 13

Mikoa 18 kukosa umeme leo Septemba 13

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kuhusu kukosekana kwa umeme katika mikoa 18 nchini. [...]
Wanaojaribu kujiua wasishtakiwe

Wanaojaribu kujiua wasishtakiwe

Madaktari wanaotibu magonjwa ya afya ya akili, wameiomba serikali kupitia upya sheria inayowafunga watu wanaofanya jaribio la kujiua ili wapatiwe tiba [...]
Serikali imelipa madai ya Sh. bilioni 954.04

Serikali imelipa madai ya Sh. bilioni 954.04

Serikali imelipa jumla ya Sh bilioni 954.04 ikiwa ni madai ya VAT sawa na asilimia 431.7 ya lengo la kulipa Sh bilioni 221.01 kwa mwaka 2021/22, Naibu [...]
Ahadi ya Rais Samia kwa WaKenya

Ahadi ya Rais Samia kwa WaKenya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais wa Kenya William Ruto kwa kuapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano wa n [...]
Zuchu amshtaki Ostaz Juma TCRA

Zuchu amshtaki Ostaz Juma TCRA

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii kutoka lebo ya Wasafi ameweka wazi kwamba amemshtaki Ostaz Juma, TCRA baada ya kumdhihaki na kuongea maneno [...]
Waziri Makamba azindua kiwanda cha kuzalisha transfoma

Waziri Makamba azindua kiwanda cha kuzalisha transfoma

Waziri wa Nishati, January Makamba amezindua kiwanda cha kuzalisha transfoma cha kampuni ya Elsewedy Electrica Industrial Complex kilichopo Kigamboni [...]
Bima ya afya kwa wote

Bima ya afya kwa wote

Rais Samia Suluhu amesema mkutano wa Bunge utakaoanza kesho, pamoja na mambo mengine, utapitia na kupitisha Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote [...]
Waziri Aweso amsimamisha kazi Meneja wa RUWASA

Waziri Aweso amsimamisha kazi Meneja wa RUWASA

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemsimamisha Kazi Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijini RUWASA wilaya Karagwe, Mhandisi Magai Kakuru kwa [...]
1 31 32 33 34 35 80 330 / 800 POSTS
error: Content is protected !!