Tag: nafasi za kazi
Mikoa 18 kukosa umeme leo Septemba 13
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kuhusu kukosekana kwa umeme katika mikoa 18 nchini.
[...]
Wanaojaribu kujiua wasishtakiwe
Madaktari wanaotibu magonjwa ya afya ya akili, wameiomba serikali kupitia upya sheria inayowafunga watu wanaofanya jaribio la kujiua ili wapatiwe tiba [...]
Serikali imelipa madai ya Sh. bilioni 954.04
Serikali imelipa jumla ya Sh bilioni 954.04 ikiwa ni madai ya VAT sawa na asilimia 431.7 ya lengo la kulipa Sh bilioni 221.01 kwa mwaka 2021/22, Naibu [...]
Ahadi ya Rais Samia kwa WaKenya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais wa Kenya William Ruto kwa kuapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano wa n [...]
Zuchu amshtaki Ostaz Juma TCRA
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii kutoka lebo ya Wasafi ameweka wazi kwamba amemshtaki Ostaz Juma, TCRA baada ya kumdhihaki na kuongea maneno [...]
Waziri Makamba azindua kiwanda cha kuzalisha transfoma
Waziri wa Nishati, January Makamba amezindua kiwanda cha kuzalisha transfoma cha kampuni ya Elsewedy Electrica Industrial Complex kilichopo Kigamboni [...]
Bima ya afya kwa wote
Rais Samia Suluhu amesema mkutano wa Bunge utakaoanza kesho, pamoja na mambo mengine, utapitia na kupitisha Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote [...]
Waziri Aweso amsimamisha kazi Meneja wa RUWASA
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemsimamisha Kazi Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijini RUWASA wilaya Karagwe, Mhandisi Magai Kakuru kwa [...]
Nguo 5 za kuvutia zaidi za Malkia Elizabeth II
Malkia Elizabeth alikuwa mfalme wa mitindo na darasa kwa watu wengi. Zaidi ya miaka 70 ya utawala wake amekuwa akionekana kwenye mitindo mbalimbali ya [...]
Kikwete ampa tano Rais Samia Suluhu
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuunda kikosi kazi cha ukusanyaji wa maoni, kuhusu [...]

