Tag: nafasi za kazi
Iringa, Mbeya na Njombe baridi yafika 4°C
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema kwamba hali ya baridi itaendelea kuwepo ambapo katika mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya baridi inatarajiw [...]
Kuandika wosia sio uchuro
Wizara ya Katiba na Sheria imeiagiza Wakala wa Usajili, Ufilisia na Udhamini (RITA) kukusanya maoni kwa wananchi ya nini kinachosababisha wananchi kuw [...]
Aua kwa panga kisa wivu wa mapenzi
Mkazi wa Kijiji cha Mgombani, SWilaya ya Monduli mkoani Arusha, Juma Ndaji (27), anashikiliwa na polisi wilayani humo kwa kosa la kumkata panga mfanya [...]
Ugonjwa usiojulikana Lindi unasababishwa na bweha
Wizara ya Afya kupitia kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu imetanga uwepo wa mlipuko mpya wa ugonjwa wa Homa ya Mgunda unaosababisha wananchi kutoka damu [...]
Mradi wa umeme Rusumo wafika asilimia 95
Imeelezwa kuwa, kukamilika kwa mradi wa umeme wa Rusumo wa megawati 80 kutaimarisha hali ya upatikanaji umeme katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo kum [...]
Mbaroni kwa kuuza jezi za feki za Simba na Yanga
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikiria Said Furaha (31) kwa tuhuma za kukutwa na jezi feki za timu za Simba na Yanga dazani 296.
Kamanda wa Poli [...]
Mama amuua binti yake
Mama na mwanaye wa kiume wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kumuua binti wa kumzaa wa mama huyo.
Was [...]
Serikali yatoa tamko kuhusu ugonjwa usiofahamika
Taarifa kwa vyombo vya habari na wananchi kuhusu ugonjwa usiofahamika Mkoani Lindi
[...]
Mwongozo wa kuomba mikopo
Bodi ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la mikopo kwa wanafunzi kwa mwaka 2022/23 na kutoa mwongozo wa namna ya kuomba mikopo.
[...]
Bingwa kuingiza watalii Tanzania
Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoin [...]