Tag: nafasi za kazi

1 43 44 45 46 47 81 450 / 808 POSTS
Ugonjwa usiojulikana Lindi unasababishwa na bweha

Ugonjwa usiojulikana Lindi unasababishwa na bweha

Wizara ya Afya kupitia kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu imetanga uwepo wa mlipuko mpya wa ugonjwa wa Homa ya Mgunda unaosababisha wananchi kutoka damu [...]
Mradi wa umeme Rusumo wafika asilimia 95

Mradi wa umeme Rusumo wafika asilimia 95

Imeelezwa kuwa, kukamilika kwa mradi wa umeme wa Rusumo wa megawati 80 kutaimarisha hali ya upatikanaji umeme katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo kum [...]
Mbaroni kwa kuuza jezi za feki za Simba na Yanga

Mbaroni kwa kuuza jezi za feki za Simba na Yanga

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikiria Said Furaha (31) kwa tuhuma za kukutwa na jezi feki za timu za Simba na Yanga dazani 296. Kamanda wa Poli [...]
Mama amuua binti yake

Mama amuua binti yake

Mama na mwanaye wa kiume wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kumuua binti wa kumzaa wa mama huyo. Was [...]
Serikali yatoa tamko kuhusu ugonjwa usiofahamika

Serikali yatoa tamko kuhusu ugonjwa usiofahamika

Taarifa kwa vyombo vya habari na wananchi kuhusu ugonjwa usiofahamika Mkoani Lindi [...]
Mwongozo wa kuomba mikopo

Mwongozo wa kuomba mikopo

Bodi ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la mikopo kwa wanafunzi kwa mwaka 2022/23 na kutoa mwongozo wa namna ya kuomba mikopo. [...]
Bingwa kuingiza watalii Tanzania

Bingwa kuingiza watalii Tanzania

Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoin [...]
Dar es Salaam jiji la 6 kwa usafi Afrika

Dar es Salaam jiji la 6 kwa usafi Afrika

Rais Samia amesema kwamba jarida la Africa Tour Magazine, limelitangaza jiji la Dar es Salaam, ni Jiji la sita kwa usafi barani Afrika, ambapo katika [...]
Aagiza shule zifunge CCTV

Aagiza shule zifunge CCTV

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amezielekeza shule zote za sekondari ndani ya Jiji la Dodoma kufunga kamera za usalama (CCTV) kusaidia kubaini w [...]
Magazeti ya leo Julai 9,2022

Magazeti ya leo Julai 9,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Julai 9,2022. [...]
1 43 44 45 46 47 81 450 / 808 POSTS
error: Content is protected !!