Tag: nafasi za kazi
Mwendokasi Mbagala kwa 650
Wakala wa mabasi yaendayo haraka DSM (DART) imetangaza ruti mpya ya mabasi hayo itakayoanzia Uwanja wa Maonesho wa Mwl J.K Nyerere (Sabasaba) hadi Mba [...]
Mbivu na mbichi za kina Mdee leo
Maombi ya wanachama 19 wa zamani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kibali cha kupinga kufukuzwa uanachama, yatajulikana leo Mahakama i [...]
Fahamu aina 5 za miguno
Miguno wakati wa tendo la ndoa inaweza kuwa ya uwongo, ambayo si jambo zuri, lakini inapokuwa ya kweli, huakisi hisia ambazo mwanamke anapitia pamoja [...]
Nchi 20 kushiriki maonesho ya Sabasaba
Maandalizi ya Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Sabasaba yamekamilika kwa asilimia 95, na nchi 20 ikiwemo Marekani zimethibiti [...]
Simba kumuaga Wawa
Klabu ya Simba imeamua kuacha na beki wake wa kati raia wa Ivory Coast Pascal Wawa baada ya mkataba wake kumalizika kwenye klabu hiyo yenye makazi yak [...]
Ofisa Mtendaji, Mgambo wadaiwa kuua mwanafunzi kisa viatu
Ofisa Mtendaji katika kata moja wilayani Siha mkoani Kilimanjaro na mgambo, wanadaiwa kuwatembezea kipigo wanafunzi wanne na kusababisha kifo cha mmoj [...]
Nyani waua mtoto mchanga
Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wak [...]
Sabaya kizimbani leo
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Jumatatu Juni 20, 2022 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusikiliza [...]
Zanzibar ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na timu ya Masoko ya Klabu ya Southampton ya Ligi Kuu ya Uingereza.
Wamefanya [...]
Ushuru Daraja la Tanzanite
Serikali imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Draja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka za Kibaha-Mlandizi - C [...]