Mwendokasi Mbagala kwa 650

HomeKitaifa

Mwendokasi Mbagala kwa 650

Wakala wa mabasi yaendayo haraka DSM (DART) imetangaza ruti mpya ya mabasi hayo itakayoanzia Uwanja wa Maonesho wa Mwl J.K Nyerere (Sabasaba) hadi Mbagala Rangitatu “Huduma hii itaanza kutolewa June 28,2022 hadi July 14,2022 kwa nauli ya Tsh. 650 tu”

Pia DART wametoa maelekezo kuhusu maegesho ya magari kwa kutoa taarifa ya namna utaratibu ulivyoandaliwa sehemu za kuegesha magari.

error: Content is protected !!