Naomi Osaka kuzindua kampuni ya Hana Kuma

HomeKimataifa

Naomi Osaka kuzindua kampuni ya Hana Kuma

Mchezaji wa tenisi kutoka nchini Japan, Naomi Osaka anatarajia kuzindua chombo chake cha habari alichokipa jina la ‘Hana Kuma’ akishirikiana na bingwa mara nne wa NBA Lebron James kinachotarajia kutoa elimu na hadithi kuhusu vikwazo vya kitamaduni.

Osaka alieleza maana ya ‘Hana Kuma’ kama dubu la maua. 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by 大坂なおみ???? (@naomiosaka)

error: Content is protected !!