Tag: nafasi za kazi
Mpoto alia na waimba “amapiano” Tanzania
Mshairi nguli kutoka nchini Tanzania Mrisho Mpoto maarufu kwa jina la ‘Mjomba’ amefunguka na kuweka wazi kwamba anasikitishwa na namna baadhi ya wasan [...]
Mbaroni kwa kutaka kuuza ardhi ya Rais wa Kenya
Watu wanne wamewekwa kizuizini na mahakama ya Nairobi kwa shutuma za kupanga njama za kuuza ardhi ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta huko Karen nchini h [...]
Temeke wakamilisha ‘madarasa ya Rais Samia’
Bilioni 3.14 zilizotolewa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan zimewezesha kukamilika kwa ujenzi wa vyumba vya madarasa ya sekondari 157 katika wil [...]
Majaliwa avunja ukimya kuelekea uchaguzi 2025
Waziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amesema kuwa hana mpango wa kugombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2025 kama ambavyo [...]
Magazeti ya leo Desemba 23, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania Alhamisi Desemba 23, 2021. [...]
Tazama video zinazo-trend Youtube Desemba 20, 2021
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatatu Desemba 20, 2021. Husikubali kupitwa;
https://www.youtube.com/wa [...]
Tazama video zinazo-trend Youtube Desemba 17, 2021
Hizi hapa video zinazopeta kwenye mtandao wa Youtube Tanzania leo Ijumaa Desemba 17, 2021. Husikubali kupitwa:
https://www.youtube.com/watch?v=2x03 [...]
Madalali sasa ni rasmi, kuanza usajili Januari 2022
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, William Lukuvi ametoa mwongozo wa kusimamia shughuli za udalali nchini ili kuwatambua, kutambua shughu [...]
Willy Paul na Diana Marua wawashiana moto Kenya
Msanii kutoka Kenya, Willy Paul ambaye miaka ya nyuma aliwahi kutamba na wimbo wake wa ‘Jigi Jigi’, ametupiana maneno kwenye mitandao ya kijamii na mr [...]
Mtambo wa kusaidia watu kujiua waanza kutumika
Uswizi wamepitisha uamuzi wa watu kutumia mashine ambayo itawasiadia kujiua bila mateso lakini pia itasaidia mtu kuamua ni wapi na saa ngapi anataka k [...]