Tag: Tozo
Makabidhiano ya data za utafutaji wa mafuta na gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar
Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, tarehe 10/8/2022 ameshuhudia makabidhiano ya data za utafuta [...]
WhatsApp kuwaongezea nguvu Ma-admin
Mtandao wa kijamii wa WhatsApp siku zijazo utawaongezea nguvu viongozi wa makundi ya mtandao huo kuwa na uwezo wa udhibiti ikiwemo kufuta ujumbe wa wa [...]
IGP Wambura afanya mabadiliko
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IJP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi ili kujaza nafasi zilizokuwa wazi. [...]
Bakuli latembezwa na Chadema kuwakabili kina Mdee
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kuchangisha fedha kutoka kwa wanachama wake, kugharamia mawakili watakaosimamia kesi ya waliokuwa [...]
Bandari ya Dar inavyoimarisha soko la biashara
Ripoti mpya ya GBS Africa imeonyesha kwamba upanuzi mkubwa na uboreshaji wa ufanisi katika bandari kuu ya Tanzania ya Dar es Salaam umeiwezesha kutoa [...]
Walioathiriwa na ajali ya basi Mtwara kulipwa fidia
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imeiagiza kampuni ya bima ya Reliance ihakikishe waathirika wote wa ajali iliyoua watu 13 wakiwemo watoto [...]
Uganda wavutiwa na Tanzania
Wabunge wa Uganda waliokuja kutembelea miundombinu ya nishati nchini wakiongozwa na Waziri wa Nchi, Maendeleo ya Nishati na Mdibi, Dkt. Peter Lokeris [...]
TICTS yatajwa kuwa chanzo cha matatizo kwa wafanyabiashara bandari ya Dar
Kushindwa kujiendesha kwa ufanisi kwa Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makasha (TICTS) kumesababisha msongamano wa makasha hayo bandari ya Dar es Sal [...]
Mkanda wa Nelson Mandela waibiwa
Polisi wa Afrika Kusini wameanzisha msako wa kuwasaka washukiwa walioiba mkanda wa ndondi uliotolewa kwa Nelson Mandela na bingwa wa Marekani Sugar Ra [...]
Bingwa kuingiza watalii Tanzania
Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoin [...]

