Tag: Tozo
Shilingi bilioni 2 za kuwasha majenereta Katavi zaokolewa
Rais Samia Suluhu Hassan ametembela Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme wa Gridi wa Taifa kilichopo Inyonga mkoani Katavi na kisha kuzungumza na wananch [...]
Sera za Rais Samia zilivyoimarisha shilingi ya Tanzania kwa miaka mitatu mfululizo
Tangu aingie madarakani Machi 19, 2021 , Rais Samia Suluhu ameweza kuimarisha thamani ya shilingi ya Tanzania na kuendelea kuwa imara ikilinganishwa n [...]
Tanzania ya pili uzalishaji wa tumbaku Afrika
Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Mhe. Hussein Bashe amesema takwimu za hivi karibu zinaonyesha Tanzania imekuwa mzalishaji wa pili mkubwa wa tumbaku [...]
Rais Samia: Wananchi toeni maoni Dira ya Maendeleo 2050
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kushiriki katika mchakato wa maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya 2050 ili kupata dira jumuishi itakayokid [...]
Elimu ya msingi mwisho darasa la sita
Taasisi ya Elimu Tanzania imetoa mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la kwanza hadi la sita 2023.
Muundo wa mtaala huo umebadilika na sasa eli [...]
Wavulana wakimbiza matokeo kidato cha sita 2023
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo limetangaza matokeo ya mtihani ya kidato cha sita kwa mwaka 2023 huku ufaulu wa jumla kwa watahiniwa wa shule [...]
TPDC, CNOOC ya China kushirikiana katika sekta ya gesi
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Kampuni ya China National Offshore Oil Corporation (CNOOC) na Shirika la Maendeleo la Petroli la Tanzania(T [...]
Wanaume mnaopitia unyanyasaji toeni taarifa
Wanaume nchini wameshauriwa kutovumilia na kuficha vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa kwenye ndoa na kwenye familia zao.
Badala yake, wametakiwa ku [...]
Uchumi kukua kwa 5.2% mwaka 2023
Uchumi wa Tanzania unatarajia kukua kwa kasi ya asilimia 5.2 mwaka 2023 kutoka asilimia 4.7 mwaka jana ukichochewa zaidi na sababu mbalimbali zikiwemo [...]
Deni la serikali laongezeka kwa 13.9%
Deni la serikali hadi Aprili 2023, lilikuwa shilingi bilioni 79,100.19 sawa na ongezeko la asilimia 13.9 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 69,440.01 [...]

