Tag: trending videos
Suala la wabunge 19 tuiachie mahakama
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuingilia kati suala la Wabunge 19 wanaodaiwa kuwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kutaka ma [...]
DC Iringa awataka kina mama kuachana na ‘vibenteni’
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Verronica Kessy amewaonya akina mama (wanawake watu wazima) wanaojihusisha kimapenzi na wavulana wadogo (vibenteni) akisema [...]
Fahamu nchi 10 za Afrika zenye madeni makubwa China
China ni kati ya mataifa makubwa duniani yanayokopesha nchi nyingi za Afrika kiwango kikubwa cha fedha zinazowasaidia kutekeleza miradi na pia kuendes [...]
CHADEMA kupokea milioni 102 ya ruzuku kwa mwezi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema chama hicho kimekubali kupokea ruzuku ya Sh. milioni 102 kwa mw [...]
Tanzania haidaiwi zaidi ya sh. trilioni 10 na EIB
Wizara ya Fedha na Mipango nchini Tanzania imewataka wananchi kupuuzia taarifa zinazoonekana kupitia mitandao ya kijamii kuwa Serikali inadaiwa Dola z [...]
Waandaaji wa Miss Tanzania wapinga wazo la Zuchu
Baada ya msaani Zuhuru 'Zuchu' kutumia Sash yenye jina la Miss Tanzania kwenye cover ya wimbo wake mpya wa NAPAMBANA. waandaaji wa mashindano ya Uremb [...]
Anayedaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kuchunguzwa
Kaminshna wa Polisi Zanzibar, Hamad Khamisi, amesema wanamchunguza askari wao anayetuhumiwa kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja (ushoga) na ikith [...]
Rais Samia : Uongozi bora ni msingi wa maendeleo
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna shida katika uongozi bora Tanzania, jambo ambalo limekuwa likiibua changomoto kwa baadhi ya viongozi wa Serikali [...]
Kilwa kuwa bandari kubwa ya uvuvi Afrika Mashariki
Wilaya ya Kilwa iliyopo mkoani Lindi ni maarufu sana duniani kutokana na historia yake ya magofu ya kale na yenye vivutio vingi vya utalii.
Mji huo [...]