Tag: trending videos
Shaka: Tanzania tunaye muongoza njia
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi wa Chama na serikali kuwashirikisha v [...]
Marekani wamuua naibu wa Osama Bin Laden
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kwamba kiongozi wa kundi la al-Qaida, Ayman al-Zawahiri, ameuawa kwa shambulizi la ndege isiyo na rubani ya Mare [...]
Maagizo ya Rais Samia kwa Chamila
Baada ya kutohudumu katika nafasi ya uongozi kwa zaidi ya mwaka mmoja, hatimaye Albert Chalamila ameapishwa jana kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera huku aki [...]
Rais Samia ataja vigezo vya kuteua viongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 1,2022 amewaapisha viongozi wateule Ikulu, Dar es Salaama na kutaja vigez [...]
Simba wasaini bilioni 26.1 na M- Bet
Klabu ya Simba ya Dar es Salaam na Kampuni ya michezo ya kubashiri ya M-Bet, leo wametangaza mkataba wao wa udhamini wa miaka mitano wenye thamani ya [...]
Bakuli latembezwa na Chadema kuwakabili kina Mdee
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kuchangisha fedha kutoka kwa wanachama wake, kugharamia mawakili watakaosimamia kesi ya waliokuwa [...]
‘Girlfriends day’ ni kwa Marekani tu
Leo Agosti 1, ni siku ya marafiki wa kike ‘girlfriends day’ na tofauti na ilivyo kwa siku ya wapendanao, siku hii ni mahususi kwa wanawake kwa ajili y [...]
Aahidi kufunga taa na kamera Uwanja wa Ndege hadi Posta
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amesema Serikali ya Mkoa wake inakusudia kufunga taa na kamera za barabarani kuanzia Uwanja wa Ndege wa Mwa [...]
Jinsi ya kujikinga na homa ya Mgunda
Licha ya ugonjwa huo kutokuwa tishio bado Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameitaka jamii kuchukua tahadhari za kujikinga ikiwemo kuepuka kunywa na kugusa [...]
Tanzania yajitoa mashindano ya kikapu kisa ukata
Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) limeeleza kuitoa timu ya wavulana kushiriki mashindano ya Afrika ya kutafuta tiketi ya kufuzu kucheza kom [...]