Tag: trending videos
Waziri Ummy: Sio Ebola, Maburg wala Uviko-19
Wakati timu ya wataalamu kutoka nje ikitarajiwa kuanza uchunguzi kubaini ugonjwa usiojulikana Lindi, Wizara ya Afya imesema sampuli za vipimo vya maab [...]
Mama amuua binti yake
Mama na mwanaye wa kiume wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kumuua binti wa kumzaa wa mama huyo.
Was [...]
Tanzania na Ubelgiji mambo safi
Tanzania na Bandari ya Antwerp ya Ubelgiji zimekubaliana kuanza mashauriano ya kuanzisha ushirikiano katika uboreshaji wa huduma za bandari nchini. Ma [...]
Rais Samia aeleza umuhimu wa sekta binafsi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema kuna umuhimu kwa viongozi na watendaji wa Serikali kutathimini utekele [...]
Magazeti ya leo Julai 15,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Julai 15,2022.
[...]
Rais ajiuzulu
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaska amejiuzulu rasmi leo alhamisi Julai 14,2022 akiwa Singapore.
Rais huyo aliamua kukimbia nchi yake siku ya Jum [...]
Tanapa yapiga marufuku uvaaji wa sare zake
Jeshi la Uhifadhi wa Wanyamapori na Misitu la Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa (TANAPA) imeagiza watu waache kuvaa sare zake popote.
Taarifa hii imetole [...]
Uwoya : natafuta mtu wa kunichekesha
Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania Irene Uwoya, ametangaza ajira kwa mtu yeyote mchekeshaji atayekuwa na jukumu la kumchekesha muda wote.
Kupitia [...]
Watatu wafariki kwa ugonjwa usiofahamika
Wizara ya Afya imetangaza vifo vya watu watatu vilivyosababishwa na ugonjwa ambao bado haujafahamika ambavyo vimetokea katika Kituo cha Afya Mbekenyer [...]
Mkanda wa Nelson Mandela waibiwa
Polisi wa Afrika Kusini wameanzisha msako wa kuwasaka washukiwa walioiba mkanda wa ndondi uliotolewa kwa Nelson Mandela na bingwa wa Marekani Sugar Ra [...]