Tag: trending videos
Mwendokasi 1,500
Wakati Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) ikitarajia kufanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi yaendeyo haraka maarufu mwendokasi, Wakala wa [...]
Sababu ya Rais Samia kuelekeza tuzo kwa Magufuli
Licha ya kupata tuzo ya heshima kuhusu ujenzi wa barabara barani Africa, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameelekeza tuzo hiyo kwa mtangulizi wake [...]
Mtwara wang’oa vibao vya anuani za makazi
Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani imeeleza kusikitishwa na vitendo vya baadhi ya wananchi vya kung’oa vibao vya anuani ya makazi.
Kufuati [...]
Nafasi za kazi Manispaa ya Kigamboni
Job vacancies Kigamboni Municipal Council May 2022: Chief Executive Director of Kigamboni Municipal Council invites all Tanzanian citizens to fill vac [...]
Nafasi za kazi Manispaa ya Kinondoni
Job vacancies Nafasi za kazi Kinondoni Municipal Council May 2022: Chief Executive Director of Kinondoni Municipal Council invites all Tanzanian citiz [...]
NCCR-Mageuzi zafungua ofisi
Baada ya kutokea vurugu zilizosababisha Ofisi za Makao Makuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi zilizopo Ilala mkoani Dar es Salaam kufungwa na kuwekwa chini y [...]
Usilolijua kuhusu Diamond Platnumz
Kujizolea umaarufu kwa mwanamuziki kutoka Tanzania Diamond Platnumz kumekuwa katika kazi zinazoendelea miaka 12 sasa, kutokana na nyimbo nzuri zinazoa [...]
Spika apiga marufuku vituko bungeni
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amepiga marufuku Wabunge kufanya vituko kama kupiga magoti au sarakasi wakati waki [...]
Nafazi mpya za kazi Vodacom
POSITION : Territory Manager
LOCATION : Songea
DURATION: Full Time
COMPANY: Vodacom Tanzania Plc
JOB PURPOSE
Maximises sales revenue by working [...]
Ukweli kuhusu ‘Monkeypox’ Tanzania
Wizara ya Afya Tanzania imesema hayupo wala hajawahi kuwepo Mgonjwa wa homa ya nyani Nchini Tanzania (Monkeypox) lakini hata hivyo imetaka Watu wote k [...]