Tag: trending videos

1 74 75 76 77 78 123 760 / 1230 POSTS
Kim Jong-un bila barakoa

Kim Jong-un bila barakoa

Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un ameonekana akihudhuria mazishi ya afisa mkuu wa Korea Kaskazini akiwa hajavaa barakoa licha ya kuwa nchi hiyo ipo [...]
Rais Samia ang’ara tena kimataifa

Rais Samia ang’ara tena kimataifa

Kwa mujibu wa jarida la TIME 100, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu ametajwa katika orodha ya viongozi 100 wenye ushawishi mkubwa d [...]
Fahamu Ukweli kuhusu Monkeypox

Fahamu Ukweli kuhusu Monkeypox

Hivi karibuni  zaidi ya watu 80 katika takriban nchi 12 za Ulaya wameambukizwa na Homa ya nyani. Kesi ya kwanza iliyoripotiwa nchini Uingereza ilik [...]
Museveni : Kuleni mtama na mihogo

Museveni : Kuleni mtama na mihogo

Hotuba ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni kuhusu kupanda kwa bei ya bidhaa haikutoa ahueni kwa mamilioni ya Waganda ambao wako kwenye ukingo wa kutumbu [...]
Mbunge mwingine alia bungeni

Mbunge mwingine alia bungeni

Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa amemwaga machozi bungeni wakati akieleza kuwa Kampuni ya Syno Hydro iliyopopewa zabuni ya kujenga barabara ya mwen [...]
Sababu ya Mbunge kuruka sarakasi bungeni

Sababu ya Mbunge kuruka sarakasi bungeni

Mbunge wa Mbulu Vijijini (CCM) Flatei Massay ameruka sarakasi bungeni ikiwa ni kuonyesha msisitizo wa hoja yake kuwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imek [...]
Zuchu apata ajali

Zuchu apata ajali

Msanii wa muziki wa bongo fleva kutokea lebo ya WCB, Zuchu amepata ajali iliyomsababishia majeraha katika goti lake. Kupitia ukurasa wake wa Instag [...]
Walioomba Sensa wapita idadi inayohitajika

Walioomba Sensa wapita idadi inayohitajika

Watu 674,484 wameomba nafasi za ajira za muda za Sensa ya Watu na Makazi ikiwa imezidi idadi kamili inayohitaji kwa ajili ya shughuli hiyo ni 205,000. [...]
Jinsi ya kunywa pombe

Jinsi ya kunywa pombe

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua tovuti inayoelimisha jamii kuhusu unywaji wa pombe wa kistaarabu ambayo ipo kwa lugha ya kiingereza na kis [...]
Magazeti ya leo Mei 23,2022

Magazeti ya leo Mei 23,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Mei 23,2022. [...]
1 74 75 76 77 78 123 760 / 1230 POSTS
error: Content is protected !!