Tanzania 10 bora nchi tajiri Afrika 2022

HomeKitaifa

Tanzania 10 bora nchi tajiri Afrika 2022

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inashika namba 9 kwenye orodha ya nchi 10 tajiri kwa mujibu wa ripoti ya mtandao wa Zoom Afrika kwa mwaka 2022, Tanzania inashika nafasi hiyo ikiwa na utajiri wa Dola za kimarekani 77.5 Bilioni, hii hapa orodha kamili.

10. Ghana $73.8 B

9. Tanzania $77.5 B

8. Ethiopia $105.3 B

7. Kenya $114.6 B

6. Angola $124 B

5. Morocco $133 B

4. Algeria $193 B

3. SA $426 B

2. Egypt $435.6B

1. Nigeria $520

error: Content is protected !!