Tanzania na Zambia zasaini mikataba 8 ya ushirikiano

HomeKitaifa

Tanzania na Zambia zasaini mikataba 8 ya ushirikiano

Tanzania na Zambia zimesaini mikataba 8 ya ushirikiano, kufuatia ziara ya kitaifa ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Zambia.

Mikataba hiyo ilifuatia mazungumzo ya ana kwa ana yaliyofanywa baina ya Rais Samia na mwenzake wa Zambia, Hakainde Hichilema kwenye Ikulu ya Zambia.

error: Content is protected !!