Tanzania yapata tuzo ya Ubunifu wa Kutangaza Utalii

HomeKimataifa

Tanzania yapata tuzo ya Ubunifu wa Kutangaza Utalii

Tanzania imefanikiwa kupata Tuzo ya Banda Bora lenye Ubunifu wa Kutangaza Utalii katika maonesho ya 37 ya utalii ya Seoul International Travel Fair (SITF). Maonesho hayo yaliyofanyika katika jiji la Seoul nchini Korea Kusini kuanzia tarehe 23 – 26 Juni 2022.

error: Content is protected !!