Umaarufu wampeleka R Kelly jela miaka 30

HomeBurudani

Umaarufu wampeleka R Kelly jela miaka 30

Mwimbaji wa Marekani, Robert Kelly maarufu R Kelly amehukumiwa jana JUni 29,2022 kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kutumia hadhi yake ya kuwa nyota kuendesha mpango wa kuwadhulumu kingono wanawake na watoto kwa zaidi ya miongo miwili.

Hata hivyo, mawakili wanaomuwakilisha Kelly mwenye umri wa miaka 55, wamesema atakata rufaa kupinga hukumu hiyo.

Hukumu hiyo imetolewa jana ikiwa imepita zaidi ya miaka miwili akiwa rumande katika jela mjini Brooklyn

 

error: Content is protected !!