UTEUZI: Prof. Makubi ‘boss’ mpya Hospitali ya Benjamin Mkapa

HomeKitaifa

UTEUZI: Prof. Makubi ‘boss’ mpya Hospitali ya Benjamin Mkapa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma.

Kabla ya uteuzi huu Prof. Makubi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).

Prof. Makubi anachukua nafasi ya Dkt. Alphonce Biola Chandika ambaye amemaliza muda wake.

 

 

error: Content is protected !!