Video zinazoongoza kutokupendwa YouTube

HomeBurudani

Video zinazoongoza kutokupendwa YouTube

Kila mtu huingia katika mtandao wa YouTube akiwa na lengo lake na kwa baadhi, ni kusikiliza muziki na kupata burudani ama kujifunza kitu fulani.

Licha ya mtandao huo kuwafurahisha wengi, wapo ambao  hawafurahishwi na baadhi ya maudhui yanayotolewa na fanani wa mtandao huo.  

Ndani ya mtandao huo, mtu ana uwezo wa kubonyeza kitufe cha kidole gumba kinachoelekea juu (like) ama kidole kinachotazama chini almaarufu kama “dislike” kuonyesha kutokufurahishwa na video aliyoitazama. 

Zipo video nyingi ambazo zimejizolea dislike za kutosha lakini hizi ni video 10 ambazo zinaongozwa kwa kutokupendwa na watu katika mtandao huo duniani hadi kufikia leo Aprili 7 mwaka 2022:

  1. Wheels on the bus- Cocomelon ( 6.90 million dislikes)
  2. Lakdi ki Kathi- Jingle Toons (7.24million dislikes)
  3. Colorful egg on a farm- Мирошка ТВ (8.43 million dislikes)
  4. Bath Song – Cocomelon (8.94million dislikes)
  5. Youtube Rewind 2019- Youtube (9.87 million dislikes)
  6. Johny Johny Yes Papa- LooLoo Kids (11.74 million dislikes)
  7. Baby- Justin Bieber (12.60 million dislikes)
  8. Sadak 2 trailer- Fox Star Studios (14.07 million dislikes)
  9. Baby Shark Dance – Pinkfong kids (14.98 million dislikes)
  10. Youtube Rewind 2018- Youtube ( 20.19 million dislikes)

 

error: Content is protected !!