Vilabu 10 vya England vyenye jezi kali zaidi 2021/22

HomeMichezo

Vilabu 10 vya England vyenye jezi kali zaidi 2021/22

Timu za Ligi Kuu ya England tayari zimezindua jezi ambazo zitatumika kwa msimu wa mwaka 2021/22. Kila moja imezindua jezi ambazo zimebuniwa kwa kubeba ujumbe au historia fulani.

Tuchukue dakika chache kuziorodhesha hapa jezi 10 bora zaidi. Kumbuka, si kila mmoja anaweza kukubaliana na orodha hii kwa sababu mara nyingi uzuri wa kitu hutegemeana na yule anayetazama. Lakini kwa mujibu wa mitazamo ya wengi, hizi ndizo jezi bora zaidi;

  1. Manchester City

2. Liverpool

3. Everton

4. Arsenal

5. Tottenham Hotspur

6. Crystal Palace

7. Southampton

9.Manchester United

9. Leeds United

10. Burnley

 

error: Content is protected !!