Shabiki wa Simba afariki kisa Mayele

HomeMichezo

Shabiki wa Simba afariki kisa Mayele

Mkoani Singida shabiki wa timu ya Simba amefariki dunia baada ya kuzimia kufuatia shuti la mchezaji wa Yanga, Fiston Mayele lililokosakosa goli kwenye mechi ya  Simba na Yanga jana usiku

Inaelezwa kuwa shabiki huyo aliyejulikana kwa jina la Kiula aliinuka kushangaa shuti la Mayele lililogonga pembeni mwa nyavu akidhani kuwa ni goli kabla ya kuzimia na kupoteza maisha.

Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwa Kiula ambaye ni baba wa familia.

error: Content is protected !!