Anusurika kifo akipiga punyeto

HomeKimataifa

Anusurika kifo akipiga punyeto

Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 20 nchini Uswizi amenusurika kifo baada ya kuwaishwa hospitali kutokana na kupata shida ya kupumua iliyosababishwa na kupiga punyeto.

Kijana huyo aliwahishwa Hospitali ya Cantonal, katika jiji la Winterthur na kuingizwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) na kuwekewa gesi ili aweze kupumua vyema.

X-Ray ikionyesha jinsi mapafu ya kijana huyo yanavyoonekana

Baada ya vipimo madaktari waligundua kwamba kijana huyo alikuwa akiugua ugonjwa ambao hewa huvuja na kujikusanya kwenye mapafu hivyo kumfanya mtu ashindwe kuhema vizuri.

Aidha , madaktari wamesema kwamba hali kama hiyo huwakuta sana vijana wanaojihusisha na uvutaji wa bangi na sigara.

 

error: Content is protected !!