Waandaaji wa Miss Tanzania wapinga wazo la Zuchu

HomeKitaifa

Waandaaji wa Miss Tanzania wapinga wazo la Zuchu

Baada ya msaani Zuhuru ‘Zuchu’ kutumia Sash yenye jina la Miss Tanzania kwenye cover ya wimbo wake mpya wa NAPAMBANA. waandaaji wa mashindano ya Urembo Tanzania ( The Look Company) wamesema kuwa ni kosa kisheria kutumia jina la Miss Tanzania bila kupewa kibali maalum na kampuni hiyo.

error: Content is protected !!