Wachezaji walioitwa kambini

HomeKitaifa

Wachezaji walioitwa kambini

Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Kim Poulsen ameita kikosi cha wachezaji 24, kitakachoingia kambini kwa ajili ya michezo ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN), dhidi ya Somalia.

Kikosi cha Taifa Stars kitakachoingia kambini Julai 15,2022 kwa michezo miwili ya Kufuzu CHAN dhidi ya Somalia.

error: Content is protected !!