Wafahamu mawaziri 7 wanawake Tanzania

HomeMakala

Wafahamu mawaziri 7 wanawake Tanzania

Leo Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha Dkt. Ashatu Kijaji na Dkt. Stergomena Tax kuwa mawaziri. Uapisho huo unaifanya Tanzania kuwa na jumla ya mawaziri wanawake saba.

Wanawake hao ni

1. Dkt Doroth Gwajima (Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto)

2. Profesa Joyce Ndalichako (Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia)

3. Balozi Liberata Mulamula (Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa)

4. Ummy Mwalimu (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI)

5. Jenista Mhagama (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu)

6. Dkt Stergomena Tax (Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa)

7. Dkt Ashatu Kijaji (Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari)

error: Content is protected !!