Rais Samia apangua baraza la mawaziri

HomeKitaifa

Rais Samia apangua baraza la mawaziri

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika Wizara ya Maliasili na Utalii, Wizara ya Katiba na Sheria na Ofisi ya Waziri mKuu (Bunge, Sera na Uratibu).

Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka Ikulu Chamwino zinamuonesha Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene kuhamishiwa Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge, Sera na Uratibu huku Waziri aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Pindi Chana akipelekwa kuwa Waziri wa Maliasili n Utalii.

error: Content is protected !!