Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu ametoa taarifa leo kuhusu hali ya ugonjwa wa Uviko-19 (Covid-19).
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter, Waziri Ummy ameandika kuwa sasa ugonjwa huo sio wa dharura wa afya ya jamii kama ambavyo Mkuu wa Shirikia la Afya Duniani alivyotangaza.
Rasmi: COVID19 sasa sio ugonjwa wa dharura wa afya ya jamii kimataifa. (It is not a Public health emergency of international concern).
Nitumie fursa hii kuwashukuru Viongozi wetu Wakuu wa Nchi, Watumishi wa Afya, asasi za kiraia, taasisi binafsi, @WHO_Tanzania na wadau wote… https://t.co/rtjaBUC2Hz
— Ummy Mwalimu, MP (@ummymwalimu) May 6, 2023