Wema amuumbua Mange

HomeBurudani

Wema amuumbua Mange

Muigizaji Wema Sepetu ameamua kumtolea uvivu mwanadada anyefahamika kama Dada wa taifa, Mange Kimambi kwa kumtaka aache tabia yakuandika taarifa ambazo sio za kweli katika mtandao wake wa MangeKimambi App.

amesema hayo baada ya Mange kuandika kwenye mtandao wake kwamba Wema Sepetu amehamia kwa msanii Lulu Diva maeneo ya Mbezi lakini Wema akamjibu na kumuambia kwamba taarifa hizo ni za uongo na kwamba awe anahakikisha kabla hajaandika huku akimtaja Mange kama mmoja wa watu wanaonyanyasa watu mitandaoni.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by ✨Wema App✨ (@wemasepetu)

error: Content is protected !!