Wema Sepetu alamba dili lingine

HomeBurudani

Wema Sepetu alamba dili lingine

Huwenda mwaka 2022 ukawa na neema na baraka kwa muigizaji nyota kutoka nchini Tanzania, Wema Sepetu kwani hivi karibuni amekuwa akisaini mikataba ya kuwa balozi wa bidhaa mbalimbali.

Siku ya jana Wema aliweka wazi kuwa ni balozi wa simu za vivo V23 5G .

 

View this post on Instagram

 

A post shared by ✨Wema App✨ (@wemasepetu)

error: Content is protected !!