Will Smith aomba msamaha

HomeBurudani

Will Smith aomba msamaha

Muigizaji nyota kutoka nchini Marekani ameomba radhi kwa mashabiki zake na kwa mchekeshaji Chris Rock, kwa kitendo alichofanya cha kumpiga makofi mbele ya hadhara mchekeshaji huyo ambaye alimtani Mke wa Will, Jada kwenye sherehe za Tuzo za Oscar.

Smith ameomba radhi kupitia ukurasa wake wa Instagram na kukiri kwamba ametenda kosa hivyo kuomba msamaha.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Will Smith (@willsmith)

error: Content is protected !!