Wizara ya Afya kupitia kibali cha Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na. FA.97/128/01/”B”/40 cha tarehe 01 Aprili, 2022; inatangaza nafasi za kazi 1,621 za kada za afya.