Yanga SC kuendelea na msimamo wao wa kutoshiriki mchezo namba 184 dhidi ya Simba SC

HomeMichezo

Yanga SC kuendelea na msimamo wao wa kutoshiriki mchezo namba 184 dhidi ya Simba SC

Klabu ya Yanga Sc imesema itaendelea na msimamo wake wa kutoshiriki mchezo namba 184 kwa kile kinachodaiwa kutoridhika na uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kuhusu kesi namba CAS 2025/A/11298.

View this post on Instagram

A post shared by Young Africans Sports Club (@yangasc)

error: Content is protected !!