Yanga yamtambulisha mwingine

HomeKitaifa

Yanga yamtambulisha mwingine

Klabu ya Yanga imemtangaza Abdullazez Kipanduka kama ongezeko jipya kwenye timu yao ya Maudhui chini ya kitengo cha Habari.

Abdul ambaye alikuwa mtangazaji muandamizi kwenye televisheni ya mtandao ya Mpenja TV anajiunga na Yanga ikiwa ni siku chache baada ya ongezeko la Ally Kamwe na Privaldinho.

error: Content is protected !!