Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee na wenzake 18 wamekibwaga Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya Mahakama Kuu Masijala Kuu kukubali ombi la kufungua kesi kupinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho.
Mdee na wenzake waliwasilisha maombi hayo Mei 13, mwaka huu wakiomba mahakama iwapatie kibali cha kufungua kesi ya mapitio ya kimahakama dhidi ya Baraza la Wadhamini la Chadema, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mwanasheria wa Serikali (CAG).
SOMA ZAIDI:
Mahakama yaweka zuio hakina Mdee kuguswa