Akiwa hivi, basi anaridhika

HomeElimu

Akiwa hivi, basi anaridhika

Si jambo rahisi kwa mwanaume kujua kwamba mwanamke wake anaridhika kimapenzi kwani wapo ambao wanaweza kudanganya ili mradi tendo limalize alale au aondoke.

Hivyo basi kama mwanaume kuna dalili 3 ambazo ukiziona kwa mwanamke wako basi fahamu kwamba anaridhika.

Halalamiki hovyo

Ukiona mwanamke wako halalamiki wakati na baada ya tendo basi hiyo ni ishara tosha wamba anaridhika na wewe lakini kama akimaliza kwa kukasirika basi jua kuna sehemu umekosea.

Anakujali sana

Mwanamke anayeridhika huwa anakujali muda wote, atataka kufahamu unaendeleaje, umekula, upo wapi, hii yote ni kwa sababu ya kufurahishwa kwa kile unachompa.

Mapenzi kuongezeka

Ukiona mwanamke wako anazidisha mapenzi kwako basi hapo ni dhahiri kwamba anafurahishwa na kitu unachompa hivyo kwake yeye wewe ni mtu muhimu sana.

error: Content is protected !!