Funzo mimba ya Rihanna

HomeElimu

Funzo mimba ya Rihanna

Kama wanawake kuna kitu cha kujifunza kutoka kwa mwanamitindo, mfanyabiashara, muimbaji na bilionea Rihanna kutokana na jinsi anavyoishi kipindi hiki cha ujauzito wake.

Rihanna amekuwa akionekana kwenye mitandao akiwa amevalia nguo mbalimbali za wanamitindio na kujiremba kama kawaida hali inayotakiwa kuchukuliwa kama funzo kwa baadhi ya wanawake hasa Wakiafrika.

Wanawake wengi wakiwa wajawazito huwa hawajipendi, hawavai vizuri na wengine hata kuoga hawaogi, kuna cha kujifunza kutoka kwa Rihanna.

Baadhi ya picha za Rihanna akiwa amevalia nguo za wanamitindo mbalimbali na kumfanya aonekane safi kabisa.

error: Content is protected !!