AliKiba avunja ukimya

HomeBurudani

AliKiba avunja ukimya

Msanii na mmiliki wa lebo ya Kings Music. Ali Kiba kwa mara ya kwanza leo Machi 24,2022 ameamua kum-follow mtu mmoja kwenye ukurasa wake wa Instagram ambaye ni mchekeshaji Hakika Reuben.

Ali Kiba mwenye wafuatiliaji milioni 7.9 kwenye mtandao wa Instagram hakuwahi kumfatilia mtu (Follow) lakini leo ameamua kufanya hivyo kitendo kilichompa furaha sana Hakika mpaka kuweka video kwenye ukurasa wake.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Hakika Reuben (@hakikaruben)

 

error: Content is protected !!