Askari aliyempiga virungu kijana achukuliwa hatua

HomeKitaifa

Askari aliyempiga virungu kijana achukuliwa hatua

Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyessha kijana mmoja aliyefungwa pingu na kupigwa virungu na askari.

Kupitia taarifa yake, Jeshi hilo limesema tayari hatua zimeshachukuliwa juu ya askari aliyeonekana alifanya vitendo vile na kulaani kitendo hicho kwa kusema ni kinyume na maadili ya Jeshi la Polisi.

error: Content is protected !!