Author: William Dennis
Apata ajali, mkono washonewa tumboni
Maisha ni kama fumbo tunaamka wazima hatujui tutakutana na nini na wakati gani. Ni sawa na Martin Shawn wa nchini Uingereza ambaye alipata ajali mba [...]
Flashi yaleta mvutano kesi ya Sabaya
Hapo jana kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomakabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake, kulitokea mvutano wa kisheria kuf [...]
Diwani akanusha taarifa alizopewa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga
Diwani wa kata ya Tinde wilayani Shinyanga mkoani Shinyanga, Jaffari Kanolo, amekanusha taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia M [...]
Majaliwa: 2025 ni Rais Samia
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama cha Mapinduzi kitampeleka Rais Samia Suluhu Hassan kwa wananc [...]
Kiongozi wa zamani wa Simba ahukumiwa miezi sita
Hukumu ya kesi ya viongozi wa zamani wa timu ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Evans Aveva (aliyekuwa Rais wa Simba) na Godfrey Nyage (aliyeku [...]
Mambo matano ya kuzingatia kwenye barua ya kuomba kazi
Barua ya maombi ya ajira ina nafasi kubwa sana katika safari yako ya utafutaji. Uandishi mbaya wa barua unaweza kukosesha kazi ambayo una kila sifa za [...]
Soma hapa ushahidi mpiga picha wa Sabaya kwenye kesi ya kina Mbowe
Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na wenzake watatu imeendelea leo katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na [...]
Mfahamu mtu ‘hatari’ aliyetajwa mbele ya Rais Samia leo
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, na mgeni wake, Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi leo waliongea na waandishi wa habari wakieleza yale waliyo [...]
Mambo 6 yaliyozungumzwa na Marais wa Tanzania na Burundi
Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi, yuko Tanzania kwa ziara kikazi ambapo leo akiongozwa na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan wamezungumza na [...]
Sababu za serikali kutositisha Mbio za Mwenge
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameongoza Watanzania katika kuzima Mwenge wa Uhuru pamoja na maadhimisho ya Kumbukizi ya Miaka 22 ya Kifo cha Mwalimu Jul [...]