Author: William Dennis

1 6 7 8 9 10 80 / 98 POSTS
Fahamu zaidi kuhusu mkutano atakaohutubia Rais Samia Marekani

Fahamu zaidi kuhusu mkutano atakaohutubia Rais Samia Marekani

Rais Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini na kwenda Marekani kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kidiplomasia kubwa ikiwa ni mkutano wa Baraza Kuu la [...]
January Makamba aanza na TANESCO

January Makamba aanza na TANESCO

Waziri wa wa Nishati, January Makamba (MB) amefanya ziara fupi kwenye kituo cha udhibiti wa mfumo wa usafirishaji umeme (GCC) kilichopo  Ubungo jijini [...]
Nchi 10 zenye watu wengi zaidi duniani

Nchi 10 zenye watu wengi zaidi duniani

Inaaminika kwamba dunia nzima ina watu zaidi ya bilioni 7. Idadi ya watu hupatikana kupitia sensa zinazofanywa na Serikali ya nchi husika au zinazofan [...]
Utofauti wa sensa ya 2022 na sensa zilizopita

Utofauti wa sensa ya 2022 na sensa zilizopita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema sensa ya mwaka 2022 itakuwa tofauti na sensa zilizopita, hususan kwa namna itakav [...]
Usiyoyajua kuhusu Dkt Ashatu Kijaji, Waziri mpya wa habari

Usiyoyajua kuhusu Dkt Ashatu Kijaji, Waziri mpya wa habari

Dkt Ashatu Kijaji ameapishwa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Tumekuwekea baadhi ya taarifa zinazohusu safari ya Dkt. Kijaj [...]
Mfahamu Dkt Tax, mwanamke wa kwanza kuwa Waziri wa ulinzi Tanzania.

Mfahamu Dkt Tax, mwanamke wa kwanza kuwa Waziri wa ulinzi Tanzania.

Historia mpya imeandikwa leo nchini Tanzania ambapo kwa mara ya kwanza Tanzania imepata Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambaye ni mwanamke. [...]
Ifahamu ‘CV’ ya January Makamba

Ifahamu ‘CV’ ya January Makamba

January Yusuph Makamba alizaliwa tarehe 28, Januari, 1974, akiwa mtoto wa kwanza wa Mzee Yusuf Makamba na mkewe Josephine. Alipata elimu ya msingi [...]
Wafahamu mawaziri 7 wanawake Tanzania

Wafahamu mawaziri 7 wanawake Tanzania

Leo Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha Dkt. Ashatu Kijaji na Dkt. Stergomena Tax kuwa mawaziri. Uapisho huo unaifanya Tanzania kuwa na jumla ya mawa [...]
Rais Samia: Mabadiliko serikalini yanaendelea

Rais Samia: Mabadiliko serikalini yanaendelea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ataendelea kufanya mabadiliko katika nafasi mbalimbali ndani ya serikali yake. [...]
Mufti wa Zanzibar kuongezewa hadhi

Mufti wa Zanzibar kuongezewa hadhi

Baraza la Wawakilishi la Zanzibar limepitisha sheria mpya ya kuanzisha ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar. Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Dkt Mwinyi Talib [...]
1 6 7 8 9 10 80 / 98 POSTS
error: Content is protected !!