Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Septemba 16,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Septemba 16,2022.
[...]
TFF yapitisha usajili wa Kisinda Yanga
Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
[...]
Makala ya Rais Samia Siku ya Demokrasia
Ifuatayo ni makala iliyoandikwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu siku ya Demokrasia Duniani.
[...]
Askari 300 kuwasaka Panya Road
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema wametoa askari 300, kwa ajili ya kuendesha opereseheni ya kuwakamata Panya Road, ambao wamekuwa wa [...]
Lita ya petroli Nairobi Sh3469.94
Lita moja ya petroli jijini Nairobi sasa itauzwa kwa Sh3469.94 (Ksh179.30) kutoka Ksh159 katika bei mpya iliyotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Nisha [...]
Busara yatumika kupunguza faini ya Manara
Kamati ya rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF leo imetangaza kumpunguzia adhabu Msemaji wa Yanga Haji Manara kutoa milioni 20 ya faini aliyotaki [...]
Magazeti ya leo Septemba 15,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Septemba 15,2022.
[...]
Ajali Mbeya yaua DED wa Igunga
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Fatuma Latu amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari katika eneo la Inyala, [...]
Faida 3 za kutovaa nguo za ndani
Kama ulikua unajisikia vibaya pindi uvaapo chupi basi sasa unaweza kuwa na amani na kuacha kuzivaa kwani kuna faida endapo utaacha.
Zifuatazo ni fa [...]
Ziara ya Rais Samia Marekani yajibu
Ubalozi wa Marekani nchini umesema ujumbe wa kampuni 19 kubwa za uwekezaji nchini Marekani utafanya ziara Tanzania kuona fursa za biashara na uwekezaj [...]